NOTE:SINA LENGO LA KUTAFUTA SIFA WALA UBAGUZI. Kwa kuwa ni kweli mwaka wa kwanza kwa wanafunzi wa Mzumbe hukutana na likizo ndefu,kama sijakosea ni from january to july.Je kwa wale wana BAF mliotutangulia mnatushauri tusome nini ktk likizo hiyo ambacho kitatusaidia sana kulingana na masomo yetu ya BAF.WanaBAF hususani yr2,yr3 na mlio makazini naomba ushauri wenu tafathari.Natanguliza shukrani kwenu wanajamvi."Malumbano hayajengi"
Upo nje ya mada na lengo la hii post!unauhakika wa kwenda chuo? Si umeambiwa hiyo kozi ni non priority!