First year Korogwe TTC hawajapewa mkopo/ruzuku

First year Korogwe TTC hawajapewa mkopo/ruzuku

mkongoraa

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
73
Reaction score
49
Hivyo ndivyo hali ilivyo, vijana wanasoma stashahada ya juu(higher diploma) na mafunzo yote hapa yanaendeshwa kwa mfumo wa chuo kikuu academically yaani pindi linapigwa kisha notes ni gharama ya mwanachuo kununua handout.

Ishu inakuja kwamba vijana waliahidiwa kupewa mikopo pamoja na ruzuku na ahadi hii ilitolewa kwenye tangzao maalumu la wizara kupitia katibu mkuu.

Cha kushangaza mpaka leo vijana wamemaliza mwezi lakini serikali imekaa kimya na wala hakuna kauli yoyote rasmi kutoka serikalini. Vijana wengi wameshindwa kulipa ada ambayo ni 600000:
 
Back
Top Bottom