First year kusajiliwa chuoni ni lazima uwe na Cheti original cha form 4 au hata copy yake

Dorah87

Member
Joined
Aug 23, 2022
Posts
20
Reaction score
7
Habar Wana jf,

Kwa wenye ufahamu zaidi kuhusu hili je unaweza kusajiliwa chuon Kama una copy ya Chet Cha form four kwa mtu aliyepotelewa na Chet original au haiwezekan mpk Chet chenyewe ndo unasajiliwa nasemmea kwa first year wakat wa kuliport chuon
 
Lazima uwe na cheti original ili wafanye verification( uhakiki wa cheti) na kama huna cheti chako cha form 4 basi nenda baraza la mitihani wakakupe matokeo yako ili uweze pokelewa
 
Ila nenda kwanza chuo ukajaribu bahati yako, unaweza ukapokelewa kama watakuelewa
 
Lazima uwe na cheti original ili wafanye verification( uhakiki wa cheti) na kama huna cheti chako cha form 4 basi nenda baraza la mitihani wakakupe matokeo yako ili uweze pokelewa
Sawa
 
Ndugu yangu amepokelewa kwa sharti ya kupeleka og ndani ya muda aliopewa. Itabidi akamatane na necta. Lakini vyuo wana uwezo wa kuhakiki na necta kupitia database ya necta.
 
Ukifika tu wanataka;
Laki 1
Tangazo la gazeti la upotevu wa cheti
Loss report
Nakala ya kitambulisho cha kula
Passport size
Barua ya kuomba results
Utambulisho wa serikali za mitaa
Na makolokolo kibao....

Yaani kama hujajipanga kazi unayo...
 
Ni copy vyuo vingi ,labda taja chuo chako tunaweza kukusaidia ila nina uhakika 90% ni copy tu .
 
Itakua saivi,enzi zetu lazima uwe nacho original,form six ndio ilikua ata result slip
 
Habar Wana jf,

Kwa wenye ufahamu zaidi kuhusu hili je unaweza kusajiliwa chuon Kama una copy ya Chet Cha form four kwa mtu aliyepotelewa na Chet original au haiwezekan mpk Chet chenyewe ndo unasajiliwa nasemmea kwa first year wakat wa kuliport chuon

Nilikuwa na ishu kama yako ila nimepokelewa na nimesajiliwa tayari,nilichofanya mimi kabla ya kureport nilipiga simu chuoni nikawaeleza wakanambia niende kwa mwanasheria ni certify copy na ndo nilivofanya...
 
Aisee
 
Original ulipoteza au
 
Nilikuwa na ishu kama yako ila nimepokelewa na nimesajiliwa tayari,nilichofanya mimi kabla ya kureport nilipiga simu chuoni nikawaeleza wakanambia niende kwa mwanasheria ni certify copy na ndo nilivofanya...
Ooh ngoja nikutext dm unieleweshe
 
Back
Top Bottom