first year mlioripoti vyuoni tunaomba feedback

first year mlioripoti vyuoni tunaomba feedback

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
first year najua mlikua na hamu sana mkayafahamu makazi na mlipochaguliwa.hali ikoje huko?
 
watakiona tu acha wafurahi wanafikiri na chuo ni necta. wajipange vilivyo na sio kukuza sifa aaahh,ati nilikuwa na div 1.3. acheni hizo 1sty hayo yametukuta:A S-confused1:
 
Micharazo ambao hawachambi kina nani hao tena?
 
Louis hawa madogo kwa sasa watajiona talented..ngoja walahu wafanye test moja.
 
Udom semeni ukweli kuhusu maji hapo..naskia mna bikopo vingi mnajaza maji...sa najiuliza masharo na maduu ci mnaumbuka
 
Genius.ukweli ni kitu kizuri
 
Back
Top Bottom