BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Oct 13, 2013 #1 first year najua mlikua na hamu sana mkayafahamu makazi na mlipochaguliwa.hali ikoje huko?
M Micharazo Member Joined Sep 18, 2013 Posts 89 Reaction score 7 Oct 13, 2013 #2 BUMIJA said: first year najua mlikua na hamu sana mkayafahamu makazi na mlipochaguliwa.hali ikoje huko? Click to expand... kuna wa2 wanatita hawachamb, manina nimemaliza yaaaaani
BUMIJA said: first year najua mlikua na hamu sana mkayafahamu makazi na mlipochaguliwa.hali ikoje huko? Click to expand... kuna wa2 wanatita hawachamb, manina nimemaliza yaaaaani
Sosthenes Maendeleo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 2,724 Reaction score 1,693 Oct 13, 2013 #3 watakiona tu acha wafurahi wanafikiri na chuo ni necta. wajipange vilivyo na sio kukuza sifa aaahh,ati nilikuwa na div 1.3. acheni hizo 1sty hayo yametukuta:A S-confused1:
watakiona tu acha wafurahi wanafikiri na chuo ni necta. wajipange vilivyo na sio kukuza sifa aaahh,ati nilikuwa na div 1.3. acheni hizo 1sty hayo yametukuta:A S-confused1:
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Oct 13, 2013 Thread starter #4 Micharazo ambao hawachambi kina nani hao tena?
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Oct 13, 2013 Thread starter #5 Louis hawa madogo kwa sasa watajiona talented..ngoja walahu wafanye test moja.
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Oct 13, 2013 Thread starter #6 Udom semeni ukweli kuhusu maji hapo..naskia mna bikopo vingi mnajaza maji...sa najiuliza masharo na maduu ci mnaumbuka
Udom semeni ukweli kuhusu maji hapo..naskia mna bikopo vingi mnajaza maji...sa najiuliza masharo na maduu ci mnaumbuka
G genius10 Member Joined Sep 5, 2013 Posts 93 Reaction score 6 Oct 13, 2013 #7 Micharazo said: kuna wa2 wanatita hawachamb, manina nimemaliza yaaaaani Click to expand... Umejuaje kama hawachambi mkuu??...au wewe ni??
Micharazo said: kuna wa2 wanatita hawachamb, manina nimemaliza yaaaaani Click to expand... Umejuaje kama hawachambi mkuu??...au wewe ni??
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Oct 13, 2013 Thread starter #8 Genius.ukweli ni kitu kizuri