Hi JF, kumekuwa na uzushi mwingi kuhusu admissions za wanafunz wa mwaka wa kwanza vyuoni, wengine wanasema mwez wa kumi wengine mwezi wa pili wengine January.. sasa which is witch??? Serikali yenyewe haitak kutoa tamko rasmi. ts better waseme ili tujiandae.
Naomba anayejua ukweli kuhusu hili anifahamishe.!
Ni march kaka.
Ni march kaka.
Chuo ni april
source??
mimi mwenyewe!