Fisadi asituingilie watz na upendo wetu.

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Mandugu pamoja na uelewa wangu mdogo na utembeaji wangu mdogo nje na ndani ya nchi, Sijawahi kuona au kusikia Wana forums fulani wamekutana kama au kupendana kama JF, je, dada, kaka, mama, baba , mjomba, shangazi, pamoja na wadogo zangu huu upendo watz tulio nao si wa KUIGWA jamani? Kwani wakristu na waislamu tunaongea vizuri tu, je hawa mafisadi wanataka kuupoteza huu upendo? Je kama mtz asili yake UPENDO tuko tayari kuiona hii UPENDO inaenda hivi hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…