Elections 2010 Fisadi Kikwete aliposema watu walioathirika na HIV ni kiherehere chao

Elections 2010 Fisadi Kikwete aliposema watu walioathirika na HIV ni kiherehere chao

Mzalendo80

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
2,509
Reaction score
1,340
Fisadi Kikwete aliposema hivyo alikuwa yupo sawa au ni kuidharau Jamii? Na kama ameidharau jamii je anafaa kuwa kiongozi wakati huko nyuma alishawahikuwa fisadi na bado ataendeleza ufisadi maana ukiwa mwizi huweiz kuacha wizi hata kalamu utaiba tu
 
Hajawahi kuwa kiongozi bora ni bora mtawala
 
sina uhakika, nadhani mmechakachua alivyosema jk, kama walivyowahi chakachua chama cha wafanyakazi. thanks
 
sina uhakika, nadhani mmechakachua alivyosema jk, kama walivyowahi chakachua chama cha wafanyakazi. thanks
nkosiyamakosini
Member

Join Date
Thu Nov 2010
Posts
17
Thanks
0
Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power
0

SIKUSHANGAI
 
Hivi Kikwete mwenyewe yupo Salama? ninawasiwasi na afya yake. Lakini siwezi sema ni Kiherehere chake.
 
yeye mwenyewe ana KIHEREHERE, maana anao, kautoa kwa demu wa lyumba
 
Back
Top Bottom