mycall JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 866 Reaction score 519 Oct 19, 2015 #61 Huu ujinga wenu, hautasaidia kitu ,maana tafasiri yake ni kwamba ccm wote ni mafisadi. Haiwezekani kila anayetoka anakuwa fisadi akiwa bado ccm ni msafi.
Huu ujinga wenu, hautasaidia kitu ,maana tafasiri yake ni kwamba ccm wote ni mafisadi. Haiwezekani kila anayetoka anakuwa fisadi akiwa bado ccm ni msafi.