Mbunge bubu alikuwa anaongea nin ktk majukwaa? Au sabab wana Igunga sio weledi kama wana Dar aliongea utumbo aka toast na ahadi wakaitikia. Watake nin zaid ya fulana na kofia.
jamaa anamaanisha kuwa Rostam, ndo mtu asiyetaka kwa JINSI yeyote CCM itoke madarakani kwa kuwa TUTAMSULUBU MSALABANI kwa alichotufanya. Atakunywa maji kwa karai