Elections 2010 Fisadi wa Kagoda jimbo la Igunga naye vipi?

Elections 2010 Fisadi wa Kagoda jimbo la Igunga naye vipi?

hata mimi nasubiri kwa hamu sana jimbo hilo.
 
Kule fisadi huyu ni Mungu wao, labda kibaraka wake wa Kigoma Mjini.
 
Baada ya Issa Michuzi Kuona CCM inashindwa kaacha kuweka maoni...kumbe nae ni kina Yakhe...!
 
Baada ya Issa Michuzi Kuona CCM inashindwa kaacha kuweka maoni...kumbe nae ni kina Yakhe...!

Anaugulia zile safari zake za nje ya Nchi za mara kwa mara KWISHNEY...kibarua kimeota manyasi!!!!!!:rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip::rip:
 
tuhabarishane yale yote yanayojiri. Tunao mwelekeo mzuri wa kuking'oa chama cha Mafisad.
 
Back
Top Bottom