Fish Cage Aquaculture kwa Kanda ya Ziwa

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Niko Kanda ya ziwa. Ufugaj wa samaki kwa njia ya 'cages' nimekuta ni uwekezaji mzuri kwa faida ya maana kama nilivyoshuhudia Uganda.

Anayejua undani wa ufugaji huu na risks zake na sheria zinazosimamia maji na mazingira anijuze ingawa ninazo fundamental substances za mradi husika.

Nahitaj kuanzisha na anayehitaji tushirikiane, tuwasiliane kupashana.
 
huko Uganda mambo yakoje?
 
Elimu ya kilimo hiki inahitajika sana. Kama kuna mtu ana uelewa plz atujuze hapa
 
kwa mil 10 au less unaweza kuanzisha fish cage. kwa ushuhuda naongelea maji ya ziwa na sato. lakin mavuno baada ya miez 7 waweza pata had mil 250 minimum per cage ya 6 square meter. gharama za uendeshaj kama chakula na ulinz na soko zaweza kutofautiana. ngoja nikitia miguu yote miwili katika hili nitawashirikisha. Kwakweli Uganda wako vizuri katika hili. mchanganuo wa malighaf na ujenz ninao.
 
Mrejesho chief kama ulivyo kusudia...
 
Baadae nitashusha nondo kuhusiana na ufuagaji wa samaki kwa njia ya cage....
 
Wakuu tujuzane bas kwenye hii mambo
 
Mrejesho miaka 3 bado haujaletwa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…