mr muhala hebu unipe mwanga kidogo kuhusu samaki (kambali na sato) hasa kwa mimi ninaye kaa mjini space ni ndogo. kama nikanunua simtank za lita 1000 kama tatu hivi nizikate kwa juu ziwe wazi then niwafuge samaki humo je inaweza kunilipa?, upatikanaji wa chakula pia. maji sio tatizo sana nina kisima kikubwa cha chini navuna maji ya mvua..
ushauri tafadhali..