Ili kuanza ufugaji wa samaki.katka bwawa.unahitaj kua na eneo.zuri hiyo ndio kitu cha kwanza..uzuri kvp? Kwanza liwe mahali penye maji safi na salama.na ya kutosha....pili liwe na udongo mzuri..kwa maana ya pH...na aina yake..udongo wa mfinyanzi ni mzur zaid kwan hupunguza gharama za ujenz wa bwawa..maji pia yanawez kua from vyanzo tofauti..mfno.kisima..mto..ziwa...mvuaa.au chochote kiwezacho kukupa maji mengi...2.eneo.liwe na usalama kwa maana pasiwe na matukio.ya wizi au vingnevyo..3.uwe na mtaalamu wa kukuelekeza namna ya kuchimb bwawa lako ..na ukarbu wa material ya ujengeaji...na mwisho utachimba bwawaa..bwawa likikamilika apo unawez kupanda samaki wako..idadi hutegemea na zaiz ya bwawa..(stocking density) kawaida uwa tunashauri kupanda 10 fish per 1sqr m..haswa kwa semi intesive aquaculture ambapo utahitajika kua na usimamiz wa wa wastani kwa samak.wako...apo utawalisha na pia utawek chakula.cha asili.yan natural food..smaki uw3za kukua kufkia gm500 ndn ya miez.6 ad 8..tegemea na level ya managment yako..na chakula cha samaki uwa kinalishwa depend on idadi.ya samaki...size yake kwa maana ya uzito na umri...ivo mtaalamu anaitajik.kwa ajl.ya kukuambia namna ya kulisha samk wako..vifaranga wa mono sex ni wazur zaid kwa commecial fish farming kwan hawazalian na hifanya idad kubak kua ile ile..ukuaj hua mzuri na hata managment huwa rahisi..ANZA SASA KAMA..UKIDHUBUTU UTAWEZA.