Fish Farming: Je, naweza kufuga samaki kwenye maji yaliyotuama?!

Fish Farming: Je, naweza kufuga samaki kwenye maji yaliyotuama?!

zethumb

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
610
Reaction score
137
wana jf naomba mwenye utaalam wa kufuga samaki anijuze, je naweza kufuga samaki sehemu yenye maji yalio stagnant, yaani hakuna maji mengin kuingia na hakuna maji yanayotoka! naomba kujwa tafadhali. uchumi mbaya
 
yaah inawezekana sana mkuu, is better ukawatembelea watalaam,

ukihitaji nitakupa contact zao
 
yaah inawezekana sana mkuu, is better ukawatembelea watalaam,

ukihitaji nitakupa contact zao

asante sana ndugu.
huku hakuna wataalam ni PM contant kaka ntakushukuru sana...
 
Back
Top Bottom