zethumb JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 610 Reaction score 137 Jul 22, 2015 #1 wana jf naomba mwenye utaalam wa kufuga samaki anijuze, je naweza kufuga samaki sehemu yenye maji yalio stagnant, yaani hakuna maji mengin kuingia na hakuna maji yanayotoka! naomba kujwa tafadhali. uchumi mbaya
wana jf naomba mwenye utaalam wa kufuga samaki anijuze, je naweza kufuga samaki sehemu yenye maji yalio stagnant, yaani hakuna maji mengin kuingia na hakuna maji yanayotoka! naomba kujwa tafadhali. uchumi mbaya
G GRNC Member Joined Jul 20, 2015 Posts 24 Reaction score 7 Jul 22, 2015 #2 yaah inawezekana sana mkuu, is better ukawatembelea watalaam, ukihitaji nitakupa contact zao
zethumb JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 610 Reaction score 137 Jul 29, 2015 Thread starter #3 GRNC said: yaah inawezekana sana mkuu, is better ukawatembelea watalaam, ukihitaji nitakupa contact zao Click to expand... asante sana ndugu. huku hakuna wataalam ni PM contant kaka ntakushukuru sana...
GRNC said: yaah inawezekana sana mkuu, is better ukawatembelea watalaam, ukihitaji nitakupa contact zao Click to expand... asante sana ndugu. huku hakuna wataalam ni PM contant kaka ntakushukuru sana...
mob JF-Expert Member Joined Dec 4, 2009 Posts 2,262 Reaction score 1,356 Jul 29, 2015 #4 GRNC said: yaah inawezekana sana mkuu, is better ukawatembelea watalaam, ukihitaji nitakupa contact zao Click to expand... mkuu natafuta vifaranga vya samaki
GRNC said: yaah inawezekana sana mkuu, is better ukawatembelea watalaam, ukihitaji nitakupa contact zao Click to expand... mkuu natafuta vifaranga vya samaki