Fish green curry

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
Fish green curry
(ingredients)

1. samaki mzima { kwangua na kata nyama ya juu halafu katakata viapande vidogo hakikisha hakuna miba}
2. vijiko viwili vya green curry paste (table spoon)
3.mafuta ya kupikia ( table spoon )
4. kitunguu kimoja kikubwa {katakata vipande vidogo}
5. Kitunguu saumu kizima {twanga}
6. Mafuta ya samaki { tablespoon}
7. Brown sugar {teaspoon}
8. unga wa ngano { teaspoon}
9. Maji ya nazi {Nazi moja}
10. Coriander {handful}
11. Pilipili moja {ondoa mbegu}

kaanga kitunguu maji mpaka kiwe rangi ya brown, weka curry paste, {utanusa harufu taamu}
weka kitunguu saumu na pilipili {kwa dakika mbili koroga}, weka maji ya nazi...
acha mpaka mchanganyiko uwe mzito.........
malizia kwa kuweka samaki {acha kama dakika 10}
(kama hutaki waive sana punguza dakika)
Before serving mix in coriander...
Serve on rice...

πŸ™‚yaaaaaaaammm πŸ™‚
ENJOY


 

Me Napenda Miba tena ile iliyokauka kutafuna inatoa Sauti ile ya Kaukau..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…