Fisi ni usafiri salama sana elewa namna ya kuongeza mwendo na kupunguza pia brek zilipo

Fisi ni usafiri salama sana elewa namna ya kuongeza mwendo na kupunguza pia brek zilipo

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Fisi ni usafir bora na salama sana katika ulimwengu wa pili

Fisi ni hodar wa kukwepesha ajari ya namna yeyote ile

Fisi ana speed ya hatar

Mimi nimesafili na fisi kama mara 20

ukitaka kupiga break shika mkia huwa ana break ya papo kwa papo

Ukitaka kuongeza speed finya sikio la kulia

Ukitaka kupunguza speed finya sikio la kushoto

Ukitaka kukata kona piga piga kichwan mwake

Siku moja nilikuwa nasafir na fis kutoka mbeya had simiyu kidogo tu nipate ajar lakin fisi alifanya manuva had tukajiokoa

LONDON BABY
 
Serikal itushilikishe wadau ili tuweze kuuboresha huu usafil uwe wa umma
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu

Fisi ni usafir bora na salama sana katika ulimwengu wa pili

Fisi ni hodar wa kukwepesha ajari ya namna yeyote ile

Fisi ana speed ya hatar

Mimi nimesafili na fisi kama mara 20

ukitaka kupiga break shika mkia huwa ana break ya papo kwa papo

Ukitaka kuongeza speed finya sikio la kulia

Ukitaka kupunguza speed finya sikio la kushoto

Ukitaka kukata kona piga piga kichwan mwake

Siku moja nilikuwa nasafir na fis kutoka mbeya had simiyu kidogo tu nipate ajar lakin fisi alifanya manuva had tukajiokoa

LONDON BABY
technology transformation: Magu ahangaikie reli ya standard gauge watu wanapeta zao
 
rafiki fisi ananguvu kuliko kawaida,kama kunamyama kajaliwa nguvu ni fisi
Daah! Aisee itabidi hata bungeni litolewe mswada ikibidi lipitishwe tu.

Sasa tuna angaika sana usafiri wananchi wakipato cha chini hatuwezi kununua gari wala baiskel
 
Back
Top Bottom