[emoji3][emoji3][emoji3]namuover take yule jamaaHahaaa ulikuwa unaitaman siti ya kwanza
Hivi fisi ananguvu za kukuhimili wewe mkuu?Hasa hasa kwa fisi huwa tunasafili mchana mkuu
Hahah!Hasa hasa kwa fisi huwa tunasafili mchana mkuu
technology transformation: Magu ahangaikie reli ya standard gauge watu wanapeta zaoAman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Fisi ni usafir bora na salama sana katika ulimwengu wa pili
Fisi ni hodar wa kukwepesha ajari ya namna yeyote ile
Fisi ana speed ya hatar
Mimi nimesafili na fisi kama mara 20
ukitaka kupiga break shika mkia huwa ana break ya papo kwa papo
Ukitaka kuongeza speed finya sikio la kulia
Ukitaka kupunguza speed finya sikio la kushoto
Ukitaka kukata kona piga piga kichwan mwake
Siku moja nilikuwa nasafir na fis kutoka mbeya had simiyu kidogo tu nipate ajar lakin fisi alifanya manuva had tukajiokoa
LONDON BABY
rafiki fisi ananguvu kuliko kawaida,kama kunamyama kajaliwa nguvu ni fisiHivi fisi ananguvu za kukuhimili wewe mkuu?
Sawa mkuu ila utaona pm yako imejaa wanauliza waweze kupata huo usafiriNimeona nisiwe mchoyo bora na nyie mpate maujuz kidogo
Daah! Aisee itabidi hata bungeni litolewe mswada ikibidi lipitishwe tu.rafiki fisi ananguvu kuliko kawaida,kama kunamyama kajaliwa nguvu ni fisi