Fiston Mayele anaibeba Yanga sana

Mada nyingine zinafurahisha, asingekuwa anafunga napo ingekuwa mada.
 
Chemistry ya timu ndio kila kitu, kumtegemea mtu mmoja kama malaika ni ushamba, ndio maana kila siku ushindi ni 1-0!

Mwishowe kuongoza ligi huku unatetemeka..
Wewe mwenye chemistry na physics imekuaje huongozi ligi ukiachwa points 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…