Fiston Mayele anazidi kutetema Misri

si kuna msemo naona unaenezwa humu unasema kwamba (ukiondoka Yanga kwisha habari yako) tena na mifano ikatolewa kedekede. Sasa inakuwaje kwa Mayele inakuwa tofauti!
7bu kaondoka kwa AMANI na BARAKA tele za UONGOZI na MASHABIKI
 
Kusema ukweli Fiston Kalala Mayele, alikuwa ni mtu na nusu. Na ndiyo maana pengo lake mpaka muda huu pale Jangwani, bado halijazibwa.
 
Kwani alikuwa na bao moja hata sii ndiyo ana haya mabao mawili tu kwa sasa tangu ahamie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…