Fiston Mayele aondolewe kwenye Ligi ya NBC

Huko ulikoenda Siko
 
Hana muda mrefu huyo...kuna kitu kwny hiyo kauli ya anibiten inawafanya wanaocheza nao wawaogope...na siku ikitokea hao vyura wakafungwa ndo itakua mwisho wao.
 
Sio kweli bhana jamaa anajua sana kujiweka kwenye nafasi na ndo maana unaona kama anafunga magoli kirahisi na ndo hapo anapowazidi wengine.
Just kiddin.. ni wakati wake na yeye acha afanye kabla wakati haujamtupa mkono. Walikuwepo kina Bocco kina Kagere wakachuja so ni vyema kutumia wkt wako ipasavyo.
 
Just kiddin.. ni wakati wake na yeye acha afanye kabla wakati haujamtupa mkono. Walikuwepo kina Bocco kina Kagere wakachuja so ni vyema kutumia wkt wako ipasavyo.
Sema mtani umekua mpole sana saiviπŸ˜„πŸ˜„ umepunguza kabisa make yako.
 
Sa kama watu mlikuwa na striker anaitwa sarpong na yikpe huyu si mnamuona mungu kabisa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…