Tetesi: Fiston Mayele kutua Kaizer Chiefs

Tetesi: Fiston Mayele kutua Kaizer Chiefs

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha wa mkuu wa Kaizer Chiefs.

Hii habari ni ya imeendelea kushika kazi kwenye mitandano ya kijamii ya huko Afrika Kusini south.Nabi anataka kuja kivingine?
Au ni mikono ya Hersi kuwafufua kaizer chiefs?
1723800703957.jpg
 
Mayele amfuata Nabi Kaizer chiefs
View attachment 3071611
Au ni mikono ya Hersi kuwafufua kaizer chiefs?

Hasa Hersi aweke mikono yake kuifufua Kaizer ili apate nini? Na ili iweje? Kwani Kaizer Motaung hana uwezo wa kuandaa project ya kuirudisha Kaizer Chiefs kwenye ubora wake?
Kuhusu Mayele kwenda Kaizer Chiefs inawezekana kutokana na ushawishi wa Nabi ambaye alifanya nae kazi pamoja wakiwa Yanga, na uzuri ni kwamba Mayele kawa na muendelezo mzuri, kikubwa pesa tu.
 
Labda mkataba wake unaelekea mwisho management yake inajaribu kutengeneza attention kupima upepo
 
Na vipi kuhusu Caesar Manzoki! Mangungu alipata kura za kutosha sana siku ile ya uchaguzi.
 
YANGA BINGWA in GSM's Voice

Alafu then:-
Nina dada Mombasa (In Mudi's voice)
 
Back
Top Bottom