OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Mayele amfuata Nabi Kaizer chiefs
View attachment 3071611
Au ni mikono ya Hersi kuwafufua kaizer chiefs?
Fool. Kwaio kwa timu mbovu kushinda ndio asisajiliwe ?
Itakua ndio hao hao anao wazungumzia jamaa.Keizer tuliowapiga 4 Juzi juzi?
Itakua ndio hao hao anao wazungumzia jamaa.
We ndio umeshindwa kugundua kuwa picha ni edited. Wapi mleta uzi kasema hiyo picha ni halisi ya mayele akiwa anasaini Keizer? Siku nyingine acha ujuaji dogo.Umeshindwa kugundua kama ni edit