Yanga ni Taasisi kubwa sana.Hii imeingia kwenye historia na inaonesha Yanga ina uwezo mkubwa wa ku-scout Wachezaji wenye vipaji.
Hongera Sana kwa Mayelle
Mchezaji wa yanga ipi tena? Alishaondoka miaka imepita sasa yupo ligi nyingine kabisaHii imeingia kwenye historia na inaonesha Yanga ina uwezo mkubwa wa ku-scout Wachezaji wenye vipaji.
Hongera Sana kwa Mayelle
Soma Pia: Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia
Mbona mnataka sifa msizostahili Mayele alishauzwa kitambo hana mkataba wowote na nyie.Hii imeingia kwenye historia na inaonesha Yanga ina uwezo mkubwa wa ku-scout Wachezaji wenye vipaji.
Hongera Sana kwa Mayelle
Soma Pia: Messi avunja rekodi mbili za Klose Kombe la Dunia
unataka udandiwe wewe?Mchezaji wa yanga ipi tena? Alishaondoka miaka imepita sasa yupo ligi nyingine kabisa
Mbona timu yake ya sasa haiongei?
Wabongo acheni kudandia mafanikio ya watu
Kila la kheri kwake