ROOM 47
JF-Expert Member
- May 23, 2022
- 2,301
- 7,460
Huyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu, yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa. cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye yupo nafasi ya pili kutoka chini halafu yeye kilaza Mayele yupo nafasi ya kwanza tena kwa magoli 10 halafu the fighter George Mpole ana goli 2.
Mr Mayele acha mambo ya kumtegemea GSM mpaka anunue mechi ndiyo ushinde, pambana kama the king general Moses Phir. Halafu pesa zetu za kodi mnanunulia magoli, hovyooo kabisaa!
Mr Mayele acha mambo ya kumtegemea GSM mpaka anunue mechi ndiyo ushinde, pambana kama the king general Moses Phir. Halafu pesa zetu za kodi mnanunulia magoli, hovyooo kabisaa!