Huu nao ni wivu mpya kivipi anategemea kununuliwa kwa makipa? Just show us evidence tuamini kuwa ni kweli anategemea kutengenezewa kwasababu Kila anaeangalia mpira anaona watu wanavyojituma kutafuta goli na goli Huwa linapatikana kwa makosa ya wachezaji pinzaniHuyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa... cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye yupo nafasi ya pili kutoka chini alafu yeye kilaza Mayele yupo nafasi ya kwanza tena kwa magoli 10 alafu the fighter George Mpole ana goli 2...
Mr Mayele acha mambo ya kumtegemea GSm mpaka anunue Mechi ndo ushinde pambana kama the king general Moses phir...........
Alafu pesa zetu za kodi mnanunulia magoli hovyooo kabisaa ......View attachment 2430479
Hujamwelewa vyema.Huu nao ni wivu mpya kivipi anategemea kununuliwa kwa makipa? Just show us evidence tuamini kuwa ni kweli anategemea kutengenezewa kwasababu Kila anaeangalia mpira anaona watu wanavyojituma kutafuta goli na goli Huwa linapatikana kwa makosa ya wachezaji pinzani
Ooh basi ngoja nirudie kusomaHujamwelewa vyema.
Do it broda.Ooh basi ngoja nirudie kusoma
Acha ushabiki wa kishamba unajua Mpole amecheza game ngapi hadi muda huu? Mwaka juzi Boko aliibuka top scorer Kwa goals 16 mwaka Jana hata goals 5 hakufikisha unafikiri kuwa na consistency ya kufunga kila msimu ni rahisi?Huyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu, yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa. cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye yupo nafasi ya pili kutoka chini halafu yeye kilaza Mayele yupo nafasi ya kwanza tena kwa magoli 10 halafu the fighter George Mpole ana goli 2.
Mr Mayele acha mambo ya kumtegemea GSM mpaka anunue mechi ndiyo ushinde, pambana kama the king general Moses Phir. Halafu pesa zetu za kodi mnanunulia magoli, hovyooo kabisaa!
View attachment 2430479
Naona heroine imeshapanda kichwani.Huyu jamaa kwa magoli ya mchongo anaongoza kwenye ligi yetu, yaani bila GSM kununua makipa au mabeki plus makocha ni hovyoo kabisa. cheki hapa chini mtu aliyemshindwa last msimu wa 2021/2022 yeye yupo nafasi ya pili kutoka chini halafu yeye kilaza Mayele yupo nafasi ya kwanza tena kwa magoli 10 halafu the fighter George Mpole ana goli 2.
Mr Mayele acha mambo ya kumtegemea GSM mpaka anunue mechi ndiyo ushinde, pambana kama the king general Moses Phir. Halafu pesa zetu za kodi mnanunulia magoli, hovyooo kabisaa!
View attachment 2430479
Yani Kuna watu wanafikra tofauti kweli mtu akifaulu aah amesaidiwa yule(ushahidi Hana) Sasa maombi Yao afeli, chuki + wivu inatufanya tuzitumikie Imani za kishirikina mpaka anaefanikiwa anaamini siwezi survive inabidi nikajikinge nazo. Hizi issue hazihitaji uadui hata kama ni phiri mpe haki yake anajua kama ni mayele mpe piaKama kawaida ni lawama bila ushahidi blah blah blah.
Kama wananunua walishindwa nini kununua mechi ya mwisho na mtibwa mayele atupie hat trick awe top scorer?
Inaonekama watanzania wengi tumelelewa katika wivu, chuki, kutokubali uwezo wa wenzetu na kutunga uongo Ili waonekane hawafanyi lolote la maana.
tulia soma vizuri uzi..... mtoa mada hapo anaongeza kwa 'jokes... aka kinyume chake.... kwa kifupi anamsifia mayele..Kama kawaida ni lawama bila ushahidi blah blah blah.
Kama wananunua walishindwa nini kununua mechi ya mwisho na mtibwa mayele atupie hat trick awe top scorer?
Inaonekama watanzania wengi tumelelewa katika wivu, chuki, kutokubali uwezo wa wenzetu na kutunga uongo Ili waonekane hawafanyi lolote la maana.
huyo jamaa yenu kaengea kwa mafumbo...hapo anamsifia mayele huku akikebehi mpole.. someni uzi vizuri ndo....Yani Kuna watu wanafikra tofauti kweli mtu akifaulu aah amesaidiwa yule(ushahidi Hana) Sasa maombi Yao afeli, chuki + wivu inatufanya tuzitumikie Imani za kishirikina mpaka anaefanikiwa anaamini siwezi survive inabidi nikajikinge nazo. Hizi issue hazihitaji uadui hata kama ni phiri mpe haki yake anajua kama ni mayele mpe pia