kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
One of the most Popular football player in afrika ni Fiston Mayele
Najua wengi watabisha kwasababu ya ushabiki wao lakini nitakacho kisema hapa ni ukweli
Fiston Mayele Ndiye mchezaji maarufu kwasasa Barani Afrika kuliko mchezaji yeyote wa mpira
Kuna video nimekutana nayo Youtube mashabiki wa mpira South afrika walikuwa wanaojiwa mitaani kuwa ni mchezaji gani Barani Afrika ambaye wanatamani kumuona kwenye league Yao wengi wametaja Fiston Mayele
Nenda kwenye page za mashabiki wa Raja Casablanca
Wydad
Al ahly
Hal hilal
Keizer Chiefs
Mamelodi
Zamalek
Tp Mazembe
Esperance de Tunis
Orlande paletes
Nenda kwenye page zote za mpira Barani Afrika ukikosa habari za Fiston Mayele uje unikate mguu
Nenda kwenye page ya mashabiki Istanbul BB Turki
Nenda kwenye page ya mashabiki Reine France
Njoo TZ
Hizi timu zote mashabiki Zao wanalilia timu Zao wanunue Fiston Mayele
Huyu bwana ana upepo Hatari saana