Fiston ndo mchezaji maarufu Barani Afrika kuliko yeyote

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
One of the most Popular football player in afrika ni Fiston Mayele

Najua wengi watabisha kwasababu ya ushabiki wao lakini nitakacho kisema hapa ni ukweli

Fiston Mayele Ndiye mchezaji maarufu kwasasa Barani Afrika kuliko mchezaji yeyote wa mpira

Kuna video nimekutana nayo Youtube mashabiki wa mpira South afrika walikuwa wanaojiwa mitaani kuwa ni mchezaji gani Barani Afrika ambaye wanatamani kumuona kwenye league Yao wengi wametaja Fiston Mayele

Nenda kwenye page za mashabiki wa Raja Casablanca
Wydad
Al ahly
Hal hilal
Keizer Chiefs
Mamelodi
Zamalek
Tp Mazembe
Esperance de Tunis
Orlande paletes

Nenda kwenye page zote za mpira Barani Afrika ukikosa habari za Fiston Mayele uje unikate mguu

Nenda kwenye page ya mashabiki Istanbul BB Turki
Nenda kwenye page ya mashabiki Reine France
Njoo TZ

Hizi timu zote mashabiki Zao wanalilia timu Zao wanunue Fiston Mayele

Huyu bwana ana upepo Hatari saana
 
Mganga wa mayele sio tapeli
 
Kapicha tafadhali kakuonyesha rekodi yake ya umaarufu kupanda
 
Umeleta hii post kishabiki na ndiyo maana umeaema "najua wengi mtabisha kwa sababu ya ushabiki" hii ni defence mechanism, huwezi kusema video uliyoiona ya s.Africa ikawa ndy sample research of the whole continent of Africa. Post kama hizi ziwe na tafiti please.

Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
 
Fanya tafiti ndugu yangu kwa waswahili huwezi kuamini Nakuomba nenda youtube andika ivi
Copy neno ili nenda uka recopy youtube
Nafikiri watakuletea habari zake
مايلي الشهير
Uku ni kwa waarabu

Nenda youtube andika la popularité de célébrités de fiston mayele

Nenda youtube andika who is fiston mayele
Kote uku utakutana Na habari zake kwenye vyombo mbali mbali vya sport Barani afrika
Nenda kwenye page za mashabiki wa hizo timu nilizo kutajia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…