gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Si muda mrefu shughuli itaanzaIran piga hao Israel na basha wao marekani.
Air strikes hazimalizi tatizo bila boots on the groundUSA ng'oa chukizo hilo mashariki ya kati pawe shwari
Hijab na misikiti inaendelea kuchomwa wewe umebaki kutunga habariAir strikes hazimalizi tatizo bila boots on the ground
Ayatollah atafanya kweli awamu hii.Si muda mrefu shughuli itaanza
katika nchi zoooooote duniani, iRAN is a no gone zone, wakiamuaga lao hawageuki nyuma hata ivo israel anajitahidi sana iran asipate nuclear kwan wale jamaaa wakiongea once kinachofuata ni vitendoHijab na misikiti inaendelea kuchomwa wewe umebaki kutunga habari
Huenda tukaamka na habari tofauti kabisakatika nchi zoooooote duniani, iRAN is a no gone zone, wakiamuaga lao hawageuki nyuma hata ivo israel anajitahidi sana iran asipate nuclear kwan wale jamaaa wakiongea once kinachofuata ni vitendo
US anafanya warm up na kutuma ujumbe IranUSA wameanza kushambulia ISIS huko Syria ,hii siyo warm up kweli!
US anafanya warm up na kutuma ujumbe IranUSA wameanza kushambulia ISIS huko Syria ,hii siyo warm up kweli!
Watashambulia mkuu,huenda Israel kwa Siri akashiriki,lakini Iran akishambuliwa na marekani lazima atatuma vitu IsraelMarekan hana uwezo wa kushambulia iran
Muislam hawezi choma msikiti,hiyo inajulikana kazi ya naniHijab na misikiti inaendelea kuchomwa wewe umebaki kutunga habari
Hijab na misikiti inaendelea kuchomwa wewe umebaki kutunga habari
sidhan kama wataweza, apo ni 50%Huenda tukaamka na habari tofauti kabisa
Wataanza na ayatollah na wakuu wa jeshisidhan kama wataweza, apo ni 50%
Mochwari zimejaa huko,maiti zinabebanishwa,ni za kichwa tu