Fitna ni nini?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Hivi kwa lugha ya kiingereza inaitwaje?
Je? Makabila ya kitanzania yana msamiati huu?
Je? Hiana ni fitna?
Kati ya maneno yote haya mawili je?yametoholewa katika kiarabu?
 
weka picha ya FITNA, ntakupa msamihati wake kwa lugha zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…