Fitna za Ndumbaro zamuondoa Katibu Mkuu wa CHANETA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426


Katibu Mkuu wa Chama cha Netball nchini Tanzania , Rose Mkisi amejiuzulu wadhifa huo kwa madai kwamba serikali imekitelekeza Chama hicho na Timu zake , hawaungwi mkono wala hawasaidiwi chochote .

Timu za Netball haziwezi kuendeshwa kwa hela za mfukoni za viongozi wake wakati Wizara ya michezo ipo lakini imeweka nguvu kwenye michezo yenye Kiki tu .
 
Wanatakiwa wadesign namna ambayo hiyo michezo italeta kick kiasi cha serikali kuona ngoja itie nguvu kama ilivyotia nguvu kwenye soka.


Ila kiukweli serikali inakomaa na soka zaidi,na ni baada ya soka kufanya vizuri kimataifa kuliko hapo nyuma kidogo.


Biashara united ilishindwa kusafiri kwenda Libya kisa nauli.
 
Nonesense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…