FITNESS: Kisingizio Chako Ni Nini?

Mmmhhh I see. Hiyo ni kwa sababu sijafanya mazoezi yaniingizie kipato.

Nilitaka kua boxer nikiwa form two.

Nimeanza bodybuilding baadaye, nikiwa nimemaliza A level.

Keep in mind kwamba vyote hapo juu havileti mkate mezani kwa uhakika na kwa ukubwa unaostahili.

So nikiwa chuo kuna kipindi nilikua siwezi ingia gym. Sasa hivi hustling za kuhama mkoa mmoja na mwingine zinasababisha hivyo pia. Mazoezi nafanya kama sehemu ya kujichallenge na kuhakikisha nastay in shape hivyo sifungwi nayo.
 
Mazoezi yanahitaji uwe na chakula na uchumi mzuri vinginevyo utakuwa unajichosha bure.pili sehem yenye walimu wazuri ndipo panatozwa pesa.uswahilini hata bafu hakuna na pengine unapanda daladala
Uchumi mzuri hapana, unachohitaji ni chakula. Labda kama unataka uwe level za mister Tanzania ndani ya miezi nane hapo ndiyo uchumi utahusika kwa kua utataka kununua supplements.
 
No sijafika huko nasitafika manyama ya pembeni yanakuwa kama kitabu oghhhh! yanaharibu mwonekano sana .kitumbo cha kujifungua kipo kwa mbali nataka kujua namna ya kupambana nacho.mbona mazoezi ya kukimbia hayakimalizi jamani
hahaha tumbo la chini wakati wa 'kilimo kwanza' inabidi uliinue ili shaft iendelee na kazi yake....mazoez muhimu sana aisee.
btw; i like my girls sporty!
 
hahaha tumbo la chini wakati wa 'kilimo kwanza' inabidi uliinue ili shaft iendelee na kazi yake....mazoez muhimu sana aisee.
btw; i like my girls sporty!
Mkuu ukisikia tumbo la chini tu unakumbuka 'kilimo kwanza'[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…