Fitness

Soyuncu

Senior Member
Joined
Nov 20, 2019
Posts
193
Reaction score
227
Kaa ukijua kuongeza kg ni rahisi sana kuliko kupunguza hahaha yaani kupunguza sio poa. Kupunguza kg 2 tu mziki wake sio wa kitoto...

Jiwekee tabia ya kufanya mazoezi japo dk 30 kwa siku. Magonjwa yasiyoyakuambukiza Ndio habari ya mjini now.. Kwa sababu mitindo ya maisha imebadilika sana.. Nowadays ...

Jumapili safi kabisa nishakata km zangu. Jioni nachezaga sana mpira ila kwa hali halisi ya sasa.. Mikusanyiko kwenye michezo haitakiwi.. Mpira kucheza inakua ngumu.. Ila kwa vile nishakua addicted na mazoezi.. Nitakata hata km 5.. Baada ya hapo futari kiasi.. + maji kwa wingi..vitafata..

KISUKARI sio poa wajomba halafu kwa wanaume.. Ukiwa na kisukari sio poa watoto wazuri utawaita mashemeji.. Kama unamke bora umuache... Ila ni mambo yanayoepukika unless iwe ya kurithi.. Kwenye ukoo wenu..

[emoji1418]
Asubuhi mepigwa route ya Kibabe zaid bado jioni tutoe jasho kidogo
#addicted
#nawasilisha by caglar SOYUNCU



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu Sana kupunguza uzito, program ya kupunguza uzito imeegemea kimateso zaidi, mazoezi mhimu Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza tuepuke vyakula vinavyoongeza uzito haraka.

Huwezi kusema unafanya mazoezi kila siku ilihali kila siku unakula vyakula vya kuongeza uzito
 
Nakaa Mbagala kugombania tu gari ni mazoezi tosha
Gari za Gongo la mboto bila kukimbilia na kugombania huzipandi, si ndio mazoezi yenyewe? Maana kupanda kwake lazima utumie ubavu.

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
Zoezi zuri, lisilo na mateso, na linapunguza uzito haraka ni kulima tu basi.
 

Leo asubuhi, I am addicted to it...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…