Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Yaani mtu uliesoma mpaka A level haya masomo ya biashara yasitaka hesabu au social science ukafunzwa jinsi ya kufanya research mtu mwenye Phd ya hizo fields anakutisha kweli.
Kiwango cha elimu ya watanzania kitakuwa duni kweli.
Surely if you know how to do research tayght from A level provided you have an idea kufyatua dissertation/ thesis ya maneno 10000 mpaka 60000 the skill is the same.
That is to say wengine kusoma huu ujinga wa kutukuza watu wenye hizi PHD za social na kutumia nguvu kupinga vitu rahisi vinachosha na kuonyesha ujinga wa watanzania.
Phd ya social science mtu wa maana the nonsense is beyond me nani mwenye degree ya kweli hawezi andika akiamua.
Hakuna vitu vinakera kama kutukuza vitu rahisi.