Five Kenyan Journalists Who’ve Made a Mark on International TV

BBC ina sekta nyingi labda walikua wafagiaji wapishi maana haiwezekan watu 15 wote hao wawe watangazaji harafu wasijulikane au kuna BBC nyengine?
Journalists tafsiri yake ni wanahabari sio watangazaji tu, au hujaweza kusoma hiyo link hapo? Tena BBC ndio iliwafata kutoka kwa stesheni kama KTN, KBC, CITIZEN na NTV. Sasa hivi ni regional editors, sports editors, business editors, Tv presenters(watangazaji) na reporters wa BBC Africa. Mifano ni kama Larry Madowo, Zawadi Mudibo, Roncliff Onditi, Celestine Karoney, Anne Ngugi, Michelle Ngele, Lynne Wachira(best female sports anchor/reporter), Peter Mwangangi, Mercy Kandie n.k., n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…