Five Reasons Kenya Funds Evil Scenes in Ngorongoro Crater

Naimagine kama Ni wamasai wanaondolewa areas around Maasai mara kupisha mzungu atawale hunting sector!!!
Tweeeter haingekalika
Tungewasha moto kwote hadi serikali ikue nchi Ni ya wananchi
Hawa watu wa south Ni kumbafu sanaaaa!
Very ignorant bantus

Mbona ile brutal MAU EVICTION went into a thin air!?? Nothing happened in Twitter.
 
Naimagine kama Ni wamasai wanaondolewa areas around Maasai mara kupisha mzungu atawale hunting sector!!!
Tweeeter haingekalika
Tungewasha moto kwote hadi serikali ikue nchi Ni ya wananchi
Hawa watu wa south Ni kumbafu sanaaaa!
Very ignorant bantus
Wamaa wanaondolewa eti ndio mwarabu apate nafasi ya kuwinda wanyama pori. Mwarabu, just imagine! Ingekuwa ni Kenya, matukio kama hayo yangewauma hadi wateso na wakuria wakiwa huko Western. Mzee Kenyatta hakukosea aliposema kwamba hawa majirani zetu ni maiti. Hawa wabantu ni waoga hadi inatia aibu.
 
Hahaha mbona jayden ako na shamba kila Mahali hapo? Jumlisha settlers kwenye Chai, maua na kahawa?

Wakunya mko mmejazana pipeline na slums za Nairobi... Pambaneni muchukue ardhi ya huyo mama's boy Kwanza ndio muongelee ishu ya Ngorongoro.
 
Issue ya Ngorongoro iliwahi tua bungeni kwenu. Bunge la taifa la Kenya. Unawezaje kusema ni 5% ndiyo wanaojua yanayojili huko kwa wamasai.
Hapo achilia mbali wale whistleblowers njaa wa mtaani.
😝 😛 😜
Jombaa mimi nazungumza kuhusu jambo ambalo ninaweza nikadhibitisha kwamba ni la kweli. Wakenya ambao huwa wanaingia kwenye jukwaa hili wanaweza wakatoa ushuhuda, kuhusu experience zao. Kila wanapojaribu kuzungumza na wakenya wengine kuhusu masuala au habari za Tz, ambazo huwa wanazipata humu Jf.

Nchini Kenya nobody gives a rat's a*s about Tz, honestly. Mnadhani wakenya huwa wanaketi kwenye vikao wakizungumza kuhusu masuala yenu? What a fallacy, asilimia kubwa ya wakenya wanamjua tu rais wa Tz, basi.
Kenya kuna wamaasai wengi sana kutoka Tz. Wanafanya kazi karibia zote za security mijini na biashara pia. K.m. maeneo ya Kamkunji, jijini Nairobi, Wa-Arusha wanawazidi wenyeji kwa ratio kubwa. Kwa hivyo maandamano kwenye ubalozi wa Tz haimaanishi kwamba watakaohudhuria ni wakenya tu.
 
Hahaha mbona jayden ako na shamba kila Mahali hapo? Jumlisha settlers kwenye Chai, maua na kahawa?

Wakunya mko mmejazana pipeline na slums za Nairobi... Pambaneni muchukue ardhi ya huyo mama's boy Kwanza ndio muongelee ishu ya Ngorongoro.
Walifurushwa Wamasai wangapi kwenye hayo mashamba unayoyazungumzia? Zero. Hebu walambeni waarabu makalio kwa raha zenu, wasiwasi mwingi ni wa nini?
 
The article is fake. Its written by a Tanzanian trying to stir up hate. Two anomalies here, Malaitu is not a Kenyan name, secondly, articles are not dated by country, but by city
Ndio maana nikashangaa, hakuna jina kama Mulaitu, kutoka kwa jamii yeyote ile nchini Kenya. Alafu hicho kiingereza ndomboloo sasa? Kichwa cha habari tu tayari wamechemsha. Ilifaa iwe, Five reasons WHY Kenya IS FUNDING evil scenes in Ngorongoro.
 
Eti asilimia kubwa ya wakenya wanamjua tu rais. Wakati kondeboy tu from mtwara ni big name hapo kunya land.
Jamaa uko na ma emotional kama shoga vile. Unajitesa bure.
 
Eti asilimia kubwa ya wakenya wanamjua tu rais. Wakati kondeboy tu from mtwara ni big name hapo kunya land.
Jamaa uko na ma emotional kama shoga vile. Unajitesa bure.
Kondeboy ndio nani? Anyway context yangu ilikuwa ni kuhusu masuala ya kisiasa na yanayoendelea ngorongoro. Ndio maana nilimtaja rais, kiongozi aliye kwenye nafasi ya juu kabisa.
Jombaa, kesha kwenye media za Kenya hata wiki moja ukitaka. Kwenye magazeti, Tv. ukiflip channels. Nakuhakikishia kwamba hutaona habari zozote kuhusu Tanzania.

Wakenya hawawafahamu viongozi wenu, kwa mfano naibu rais, waziri mkuu, n.k. Huwa napata wakati mgumu sana kuwaeleza, hata jina tu la chama lenu tawala, CCM. Wakenya wa jukwaa hili na watanzania pia, ambao wamefika Kenya, wapo na wataeleza kama nilichosema ni uongo.
Kuhusu emotion na ushoga, hapo uwanja ni wako, ukipenda utatueleza mengi zaidi maanake hiyo sio fani yangu.
 
Walifurushwa Wamasai wangapi kwenye hayo mashamba unayoyazungumzia? Zero. Hebu walambeni waarabu makalio kwa raha zenu, wasiwasi mwingi ni wa nini?
Halafu nakuheshimu sana maana najua wewe ni mtu wa jeshi ya damu... Ila Kwa comments zako hizi unazingua sana budaa..

Watu wamekamata mashamba Kenya huko wanalima maua nyie mnakufa njaa na kutegemea mahindi ya msaada Halafu uko hapa kupanua mdomo ishu ya Ngorongoro! Ina impact gani Kwa mkunya?
 
Wewe ukiwa huko kwenu Kolomije itakufaidi nini mmasai akidhulumiwa kwa faida ya mwarabu? Eroo, ke moda? Homo noo nkaimoguarani!
 
Naimagine kama Ni wamasai wanaondolewa areas around Maasai mara kupisha mzungu atawale hunting sector!!!
Tweeeter haingekalika
Tungewasha moto kwote hadi serikali ikue nchi Ni ya wananchi
Hawa watu wa south Ni kumbafu sanaaaa!
Very ignorant bantus
Ninyi mlioshindwa kurudisha ardhi yenu iliyochukuliwa na familia za Kenyatta na wanasiasa wenzake licha ya kamati ya kitaifa iliyoundwa na Bunge lenu kuchunguza dhuluma ya ardhi Kenya kushauri kwamba ardhi yote irudishwe serikalini ili igawanywe upya kwa wananchi wote

Sisi tunaunga mkono 100% kwa serikali kuwafukuza hao wamaasi Ngorongorio ili warudi kwao Kenya ambako hakuna ardhi ya kutosha, ardhi yote ipo chini ya wazungu na wanasiasa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Huyo huyo mzee Kenyatta ndiye aliyejigawia zaidi ya 25% ya ardhi yenye rutuba Kenya na mnashindwa kuirudisha matokeo yake mnakufa njaa kila mwaka. Hao Maasai lazima watolewe warudi Kenya na hakuna lolote mtatufanyia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nikashangaa, hakuna jina kama Mulaitu, kutoka kwa jamii yeyote ile nchini Kenya. Alafu hicho kiingereza ndomboloo sasa? Kichwa cha habari tu tayari wamechemsha. Ilifaa iwe, Five reasons WHY Kenya IS FUNDING evil scenes in Ngorongoro.

🤣 😝
Eti huyu ndiyo anajua kuhariri kiingereza.
 
Wewe ukiwa huko kwenu Kolomije itakufaidi nini mmasai akidhulumiwa kwa faida ya mwarabu? Eroo, ke moda? Homo noo nkaimoguarani!
Hahah Eroo tulia... Kwetu kolomije..

Wacha wapunguze Watu kidogo. Manyata zimejaza mbuga yote Sasa... Baada ya muda itakuwa Sio mbuga tena ni makazi ya Watu.

Na ki ikolojia Sio vizuri wanyama wa kufugwa kuchangamana na hawa wa pori.. Kuna magonjwa na usugu wa dawa utazaliwa. Hapa tatizo ni raia kuweka siasa kwenye kila jambo.
 
An outright porojo, a clear fabrication., hii ni mwendawazimu na kilaza ndio ataamini, which Kenya? mitanzania mbona mnajishuku sana? kila kitu kulaumu Kenya, ufukara wenu tatizo ni Kenya, ujinga tatizo ni Kenya, underdevelopment Kenya ndio chanzo.., idiots 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kenya haiwaogopi. Inaogopa ujinga yenu ju mnaweza uza Mali ya waafrika Kwa waarabu nyinyi. Mnaletaje waarabu kuwinda Wanyama Pori Kwa ardhi ya Wamaasai.
 
Changa la macho.

This seems to be a well sponsored 'Diversion'. from the real issue...

Genocide
I will stand by this, assertively.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…