Five rules for men


Utaishia kufa tu.
 
Nyie msianze vita na mwanamke ooohoo, tukiwafanyia kweli mnasemaje tuna roho mbaya!
 
mtoa mada kashasema akili za kuambiwa changanya na zako!mfano unaweza kuishia 4 rules au just pick one rule!
 
Nyie msianze vita na mwanamke ooohoo, tukiwafanyia kweli mnasemaje tuna roho mbaya!

Hapa kuna dalili ya kukumbwa na ile dhahama ya Kenya au Songea.My white flag is already up.
 
Wote wangekuwa km wewe katika dunia hii, tungeishi kwa raha na amani sana

unajua tatizo ni nini ndugu, wanaume wengi hawajuwi wanataka nini, utaskia mtu anasema kunakibint kinajipendekeza wakati kinajua nademu wangu, mi nakula bhana, je anajiuliza kunakipi kipya akitembea na wanawake tofauti au kujishushia heshima tu...

grls wakipenda wanapenda kweli, nakitu kitachokufanya hudumu na msichana wako ni neno AM SORRY, sasa vidume wa kibongo wakizinguana tu na grls wao wanapiga chini wanachukua mwingine na anajiona kidume kweli utazani kutembea na wanawake wengi watampa Certificate ya kuombea kazi.
 

Ni kweli kabisa unachokisema ndugu.

Mapenzi ya kweli ni kuvumiliana, kuelezana na kurekebishana, mwenzio kaomba msamaha kwa kosa alilofanya na amejirudi msamehe na muendelee na maisha. Ukisema kila anaekukosea unapiga chini, waweza maliza ulimwengu wote.
Cha muhimu ni kuelezana likes and dislikes zenu, kuchukulana mapungufu yenu, na km shida ni hizo rules it is very possible kabisa umpendae akawa nazo, na km imemiss 1 au 2 waweza mfundisha, au ukamfanyia wewe ili ajifunze kutoka kwako.
 

Hapo umenena ndugu, kunawimbo wa Ditto sijuw unaitwaje na mwingine wa Barnaba unaitwa milele daima, sikiliza vizuri ndo utajua mapenzi yakoje, achana na waswahili wanaowaza ngono mda wote...
 
Hana zote hizo ila nampenda sana alivyo.........coz najua na mm cna vyote anavyotaka ila ananipenda nilivyo!!
 
Hana zote hizo ila nampenda sana alivyo.........coz najua na mm cna vyote anavyotaka ila ananipenda nilivyo!!
wanaume wengi ni binafsi wanapenda waridhishwe wao tu
Wewe ndo umetoa point unamfikiria na mwenzako achana na huyo anayefikiria upande wake.
 

Wanafikiri kuwa watazikuta za zahabu, kumbe kitu ni ile ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…