Fix za Town part 2 !!!

We mama Chaupele hebu lete hiyo miguu ya kuku na kaugali kale pale nile. Ila Chauple akurudi utamnunulia utumbo wa shilingi hamsini kwa Mzee Kishipa. Mwambie lile deni lake la dagaa wa jana nitamlipa kama akikataa nenda kwa mama Sado akupatie mapupu ya jiti ila asikupunje mchuzi auongezee mbilimbi.
 
Machafuko hayajaisha huko Sauzi ili Zero arudi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…