Fix za town

Aiseeee.....[emoji15]
Huu mnyukano hauna tija [emoji17]
 
Shida ni hizi smart phone. Enzi za kutumia desktop ilikuwa kupost au kuchangia ni mpaka iwe maada muhimu na inayokuhusu
 
Acha longolongo prove it!!
Km thread haikuhusu pita kimya sio kuchafua/kutafuta kick tu bila 7bu za msingi...Mnaboa
minimetoa mawazo yangu2 mkuu coz nliona kma hazirelate hivi,..samahani mkuu
 
minimetoa mawazo yangu2 mkuu coz nliona kma hazirelate hivi,..samahani mkuu
Mkuu unajua wengine tupo kiburudani zaidi NA kila MTU ana vstyle yake ya kuandika thread...ingekuwa vipi hapa JF Iwapo thread/habari/stori zote zingekuwa za aina 1 tu?
Binafsi sipendi ugomvi/mabishano/kukashifiana NA watu....Napenda kuwa peace na kila member humu JF
Be blessed mkuu
 
nmetubu kama nimekukwaza mkuu
namimi nilikuwa naendeleza burudani2
 
HIVI washkaj bado wana tabia ya kuazimana nguo tu
Huyo Mr zero boyaaa kweli mwambie aache ubishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…