Hahahaha umeanza tena mkuu hongere umewashinda wenye dv1 kwa hiyo zero yakoNajisikia fahari kupata Zero matokeo ya NECTA
Umetisha sanaaa mkuu naona advance umepangiwa nje ya nchi [emoji4] [emoji4] [emoji4]Hata hesabu za draft unaanza ZIRO inafuata 1........I'm very proud [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kick jf mkuuu.../kutafuta kick tu bila 7bu za msingi...Mnaboa
Bitoz na Th Name ni watu wawili tofauti. Acha kukurupuka
Ni kweli kabisa kakaVery true...tatizo wameona tuna swaga za kitaa na "tunapatana" basi wanahisi tofauti