QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 118 Sep 9, 2012 #1 wakuu, nlikua nataka ufahamu juu ya fixed account na hisa kuhusu uzuri wake,faida,ntanufaikaje na nkitaka kununua hisa niangalie vigezo gani nategemea msaada wenu wandugu.
wakuu, nlikua nataka ufahamu juu ya fixed account na hisa kuhusu uzuri wake,faida,ntanufaikaje na nkitaka kununua hisa niangalie vigezo gani nategemea msaada wenu wandugu.