Fixed account NMB Tanzania

Fixed account NMB Tanzania

Vien

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2020
Posts
6,585
Reaction score
10,363
Habari wakuu,

Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank. Nimesikia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year

Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi. Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka.

Asanteni.
 
Hiyo hela nunua upcoming coin kam TRN then hold unaweza vuna hata Mara 5 ya pesa YAKO per year achana na mabenki wanyonyaji hao
Mkuu shukrani. Thou mada n rates za Nmb thanks
 
Ki ukweli kuweka pesa kwenye fixed account, ni vile tu mtu huna pa kuizungushia, mfano hiyo milioni 10, wakakupa enterest rate ya 9.5℅, na bado kuna withholding taxe humo watakata!!unaweza kubakiza laki 8!!kweli milioni 10, ikuzalishie faida hiyo kwa mwaka?!!ila kupanga ni kuchagua
 
Kikubwa n mwenye kujua rates za NMB, haya mengine n personal issues.
 
Kikubwa n mwenye kujua rates za Nmb ..haya mengine n personal issues
Kwa milioni10, ndio hiyo 9.5%kiwango kinapokuwa kidogo na rate inakuwa ndogo kwenye jukwaa hili huwezi pata taarifa kamili eti kiasi hiki rate ni hii, nenda offisini kwao.unapo leta uzi kwenye jukwaa hapa sio kwamba mtu akichangia anachangia kwa ajiri yako tu, bali inakuwa ni kwa kila mtu anayeweza jifunza kupitia ulichouliza.kama mtu anania ya kukujibu wewe tu atakuja PM.
 
Kwa milioni10, ndio hiyo 9.5%kiwango kinapokuwa kidogo na rate inakuwa ndogo kwenye jukwaa hili huwezi pata taarifa kamili eti kiasi hiki rate ni hii, nenda offisini kwao.unapo leta uzi kwenye jukwaa hapa sio kwamba mtu akichangia anachangia kwa ajiri yako tu, bali inakuwa ni kwa kila mtu anayeweza jifunza kupitia ulichouliza.kama mtu anania ya kukujibu wewe tu atakuja pm
Shukrani Mkuu
 
Kwa maana hiyo
0.095* 10,000,000 = 950000
It means 950000 ndo itakayoongezeka baada ya mwaka au kuna makato tena
 
Ki ukweli kuweka pesa kwenye fixed account, ni vile tu mtu huna pa kuizungushia, mfano hiyo milioni 10, wakakupa enterest rate ya 9.5℅, na bado kuna withholding taxe humo watakata!!unaweza kubakiza laki 8!!kweli milioni 10, ikuzalishie faida hiyo kwa mwaka?!!ila kupanga ni kuchagua
Yaani fixed ni balaa tupu labda uwe na billion.
 
Hiyo hela nunua upcoming coin kam TRN then hold unaweza vuna hata Mara 5 ya pesa YAKO per year achana na mabenki wanyonyaji hao
Haha mwache mwenzio.
Ninazo zenye thamani ya 0.95B sina mnunuzi
 
Habari wakuu,

Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank,

Nimeskia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year

Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi

Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka

Asanteni
Huhitaji kuuliza maswali kwa wengine, wanayo online calculator yao hapa:

Nimefanikiwa kuingia online na kufanya calculation ...
.
Nimepata mwanga sasa .
Screenshot_20210424-202147.jpg
 
Back
Top Bottom