Mdogo wangu aliweka Bank kama 10M ndani ya mwaka mmoja....si zilikaa mwaka mmoja...je anaweza kupata interest ngapi kwa hizo 6% zao?JAMANI WANA JF KWANZA KABISA NAOMBA MCHUKUE TAHADHARI.., MARA NYINGI BANKERS HAWAKO WAZI KABISA,, YAWEZEKANA KUTOELEWA KWETU NDIO FAIDA KWAO., WANATOA/TANGAZA TAARIFA NUSUNUSU..
wakisema 6% riba ni kwa mwaka sio hiyo miezi 3 anayotaja that means 6% gawa miezi 12 zidisha miezi 3= 1.5 % ..,
hivyo basi kwa 10,000,000 x 1.5 % = shs 150,000 tu riba utakayolipwa
mwisho wa kipindi hicho cha miezi 3 utakuta kwenye account 10 mln + 150,000=10,150,000= tu
utakuwa umeliwa bora hata biashara ya mkaa., sidhani hiyo riba itakusaidia kulinganisha na mtaji huo. badala yake wao watamkopesha mtu hizo pesa zako na ku-charge 18% gawa 12 x 3 =4.5% x 10 miln = shs 450,000= km ni fixed loan.,,
kwa maelezo zaidi waweza uliza.
Mkuu,
Hesabu zangu zinaonyesha kwamba for 10M @6% annual rate, for 3months period utapata 150,000 na siyo 600,000/- kama ulivyoonyesha hapo juu.
I stand to be corrected
Thanks
Hakuna bank inayotoa interest ya zaidi ya asilimia mbili kwenye annual fixed deposits, hizo za miezi mitatu
inategemea na treasury bills rate ziko vipi then wana qoute low.
Kwa kifupi, usitegemee faida doing business with any bank in tanzania
Kama zinaongezeka kwa nini useme ni "fixed" account?NIFINGUE FIXED ACCOUNT ILI ANGALAU ZIONGEZEKE.
NIAJE WAKUU. NINA KA AMOUNT KAMA MILION 5 HIVI AMBAZO ZIKO ACCOUNT NA SITEGEMEI KIZIINGIZA KWENYE BIASHARA WALA KIZIGUSA KWA MUDA WA MIEZI MITANO.
SASA NIMEONA KULIKO KUIACHA KWENYE ACCOUNT NINAYOTUMIA, NI BORA NIFINGUE FIXED ACCOUNT ILI ANGALAU ZIONGEZEKE. NAOMBA WENYE UZOEFU MNISHAURI NI BENK GANI NZURI KWA HUDUMA HII? NA BAADA YA HUO MUDA NAWEZA KUWA NA ONGEZEKO LA KIASI GANI?
Asanteni sana!!!
Kama zinaongezeka kwa nini useme ni "fixed" account?
Fixed account means hakuna riba itawekwa nje ya kile umeweka? It's fixed kwasabcu pesa unaweka inakuwa ktk muda maalumu na kwa mkataba maalumu, which means if is 5m for 3month huwez ongeza even 1m ktk kile kipind kama hakija isha? Hvyo ina manisha ukitaka ku ongeza unaifunga unafungua fixed nyingine ya 6m. That is the meaning of Fixed ac. Kuna other akaunt ktk kila bank na majina yake, kwa mfano Nbc kuna aina ya akaunt ambazo zinatoa riba, ila hazipo fixed the high you deposit, the high u gein interest, kama Malengo Akaunti, na akaunti ya akiba, pia zipo akaunti za watoto kama CHANUA AKAUNTI Ambazo ni nzuri kwa watoto walio under 18, zinariba nzur up 3% SO KAZI NI KWAKO.
Hukuona kule alivokuwa anapondea M-Pesa na Tigo-Pesa?? wanalalama huku benki zao ni HOVYO KABISA, kueka au kuchukua pesa unapanga foleni ya masaa mawili, hawa na mapacha wenzao NMB..hovyo kabisa.Wewe lazima utakuwa mfanyakazi wa NBC
Riba maana yake interest, sasa utasemaje "Fixed account means hakuna riba itawekwa nje ya kile umeweka"? Wewe huweki riba, unaweka principal.Fixed account means hakuna riba itawekwa nje ya kile umeweka? It's fixed kwasabcu pesa unaweka inakuwa ktk muda maalumu na kwa mkataba maalumu, which means if is 5m for 3month huwez ongeza even 1m ktk kile kipind kama hakija isha? Hvyo ina manisha ukitaka ku ongeza unaifunga unafungua fixed nyingine ya 6m. That is the meaning of Fixed ac.