Kwema ndugu zanguni?
Mwaka huu nimeona nianze mapema tu kufanya savings kidogo za kiji mshahara changu nacho kipata. Mshahra sio mkubwa kiukweli ila nimeona ni bora nika CUT-OFF baadhi ya spendings zisizo kua na ulazima ili niweze ku save hela kidogo kwa kutimiza malengo yangu ya baadae.
Swali langu wakuu: Ni bank gani inayo faa au ulisha pata experience nayo wana fanya vizuri kwenye FIXED A/Cs? Walau na mimi nipate kufaidika na huduma zao.
Asante.