Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Japo bank ni wanyonyaji ila nahisi umechanganya madesa.

Milioni 40 kweli wakupe faida laki 2 na 40 kweli

Nahisi kuna sifuri umeisahau, ni milioni 2 na laki 4 ndiyo walipaswa wakupe.

Japo nayo ni ndogo sana kwa milion 40
nikweli kabisa na nikamuuliza kwanini inakua hivi na ukiingia kwenye mobile yao unakupa data tofauti kabisa kwenye mobile app wanadai baada ya mwaka wanakupa milion 40% 2,160,000 baada ya kodi.

majibu aliyonipa baada ya kuhojii wanadai wanatoa riba kubwa iwapo wanataka pesa kwasasa pesa zipo.
 
Nipe milioni 1, nakuletea faida ya 300,000 kwa mwaka
 
Ni zaidi ya uwizi...
 
tatizo la mtoa mada na watu wengi ni kuwa unataka kufanya biashara kwenye biashara ya watu. Mchongo wa Fixed account in biashara ya benki na sio ya anae deposit.

Play your own game.
 
Wewe ni muongo mkuu. Fixed rate ya mwaka ni 7%. Milioni arobaini kwa mwaka unapata milioni mbili na laki nane. Wakikata withholding tax unapata milioni mbili laki tano na elfu ishirini Kama riba
 
Wewe ni muongo mkuu. Fixed rate ya mwaka ni 7%. Milioni arobaini kwa mwaka unapata milioni mbili na laki nane. Wakikata withholding tax unapata milioni mbili laki tano na elfu ishirini Kama riba
mkuu sijuii unapata wapi ujasili wakuniambia mm muongoo wakati izo data nimezipata sehemu husika

embu fanya mapngo nenda kaulize bank
 
Wa ajabu sana hawa NMB. Dawa yao hao ni kuweka bilioni 40 ili upate milioni 240!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…