Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Mbona umenishtua sana yan mwaka mzima nasotea 240,000 apo bora uanzishe biashara nyingne
 
Ela yake ni ndogo, lakini ukiwa na kuanzia M 200 hamna shida.
Milion 40 hiyo n ela ndefu sana kwa maisha yakawaida eb fkria umeanzisha biashara ndgo tu ya kukuingizia elfu 30 kwa siku kwa mwez una lak 9 mwaka unafka una milion 10 na lak 8
 
Ulitaka kusema nini? hichi ulichoandika kina uhusiano gani na post yangu?
 
Wasiliana na BOT ununue hati fungani
 
Milion 40 hiyo n ela ndefu sana kwa maisha yakawaida eb fkria umeanzisha biashara ndgo tu ya kukuingizia elfu 30 kwa siku kwa mwez una lak 9 mwaka unafka una milion 10 na lak 8
Songombingo kuipata hiyo biashara yenye kuleta faida hiyo
 
Nahisi hii hesabu ulipigiwa na customer care ambaye hesabu aliacha form two. Hakuna kitu cha hivyo. Sifuri moja mmeidondosha. Itafteni
 
Milion 40 hiyo n ela ndefu sana kwa maisha yakawaida eb fkria umeanzisha biashara ndgo tu ya kukuingizia elfu 30 kwa siku kwa mwez una lak 9 mwaka unafka una milion 10 na lak 8
Biashara ya kuingiza elfu30 (net) kwa siku inawezagharimu milioni 20 uwekezaji(mtaji)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…