Fixed Deposits in USD and TZS

Fixed Deposits in USD and TZS

Stoudemire

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
839
Reaction score
207
Habari,

Anyone interested in keeping Fixed Deposits from 3 Months to 1 year plz let me know, will give you best rates.
 
weka tangazo lieleweke mkuu ni bank au jina la bank?weka wazi rate zituvutie sii kuoengela chumbani.
 
sasa unataka watu wa-deposit na utawapa rate nzuri wewe ukiwa kama nani?

Kama kweli uko serious jieleze vizuri.
 
Banker badala utoke ukatafute wateja huko umekuwa mvivu mpaka unawatafutia Jf.
By the way rate yako haiwezi kufika 15 kwa hivyo haiwezi kuwa nzuri.
 
Habari,

Anyone interested in keeping Fixed Deposits from 3 Months to 1 year plz let me know, will give you best rates.
hiyo hela unaiweka katka benk gani na m.5 kwa miezi mitatu n sh ngapi??
 
Back
Top Bottom