S Stoudemire JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 839 Reaction score 207 Jul 8, 2013 #1 Habari, Anyone interested in keeping Fixed Deposits from 3 Months to 1 year plz let me know, will give you best rates.
Habari, Anyone interested in keeping Fixed Deposits from 3 Months to 1 year plz let me know, will give you best rates.
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Jul 8, 2013 #2 weka tangazo lieleweke mkuu ni bank au jina la bank?weka wazi rate zituvutie sii kuoengela chumbani.
Q queenkami JF-Expert Member Joined Feb 8, 2010 Posts 1,694 Reaction score 1,249 Jul 10, 2013 #3 sasa unataka watu wa-deposit na utawapa rate nzuri wewe ukiwa kama nani? Kama kweli uko serious jieleze vizuri.
sasa unataka watu wa-deposit na utawapa rate nzuri wewe ukiwa kama nani? Kama kweli uko serious jieleze vizuri.
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Jul 11, 2013 #4 watu tunahela kwenye savings,elezea vizuri tuwekeze
Prisoner 46664 JF-Expert Member Joined Dec 18, 2010 Posts 1,948 Reaction score 1,238 Jul 11, 2013 #5 Banker badala utoke ukatafute wateja huko umekuwa mvivu mpaka unawatafutia Jf. By the way rate yako haiwezi kufika 15 kwa hivyo haiwezi kuwa nzuri.
Banker badala utoke ukatafute wateja huko umekuwa mvivu mpaka unawatafutia Jf. By the way rate yako haiwezi kufika 15 kwa hivyo haiwezi kuwa nzuri.
mambali Senior Member Joined Oct 16, 2012 Posts 170 Reaction score 64 Jul 11, 2013 #6 Stoudemire said: Habari, Anyone interested in keeping Fixed Deposits from 3 Months to 1 year plz let me know, will give you best rates. Click to expand... hiyo hela unaiweka katka benk gani na m.5 kwa miezi mitatu n sh ngapi??
Stoudemire said: Habari, Anyone interested in keeping Fixed Deposits from 3 Months to 1 year plz let me know, will give you best rates. Click to expand... hiyo hela unaiweka katka benk gani na m.5 kwa miezi mitatu n sh ngapi??