Kuzungusha katika biashara ipi?Kwa Tanzania binafsi nashauri uizungushe hela yako ili izidi kukuzalishia na kubaki na thamani nzuri kidogo.
Ukisema uweke kwenye fixed deposits si sawa. Hujaweka swala la Inflation Rate.
Wazito wakufikiri ndio huwa huweka fedha zao kwenye fixed deposite, kamawewe mjanja nenda kanunue share DSE zinalipa kuliko kuweka fedha benk. Watafute wataalamu wa masuala ya Shares ili wakupe analysis za kuweza kujua share zipi zinalipa kwa sasa.Salama Wana Jamii forum habari za shughuli. Naomba kupewa mchanganuo upi una faida kuweka pesa ktk fixed deposits account au kununua shares ktk makampuni kama Tanzania Cigarette company ipi inafaida nawasilisha maana ktk benki Kuna changamoto zake nataka kujua apo
Nawasilisha, nategemea michango yenu yenye hekima na kujenga